Tafadhali tubakie tu katika uchezaji wa Yanga SC na fainali iliyoko na tusizuge sasa kwa kuhamisha goli kujifanya kufungwa kwenu na USM Alger FC jana siyo Muhimu kwenu na kwamba ufungaji bora anaokwenda kuupata Fiston Mayele ndiyo gumzo kuu na Mafanikio yenu huko CAFCC.
Kudadadeki...!!
Kila la Kheri USM Alger FC tarehe 3 June, 2023 huko Kwenu/Kwao nchini Algeria.
Kutoa top goal scorer na kufika finali mlisha wahi kujaribu? Ligi kuu tumechukua, shirikisho tuna medali, na meza imaenda kupinduliwa pale pale uarabuni. Azam tuna medali ngao ya jamii tulisha isahau haya wewe kolo una nini?

Tafadhali tubakie tu katika uchezaji wa Yanga SC na fainali iliyoko na tusizuge sasa kwa kuhamisha goli kujifanya kufungwa kwenu na USM Alger FC jana siyo...