Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Ni aibu sana kwa taifa ambalo tuliaminishwa ni manguli wa vita,na kiukweli walifanya ulimwengu utie imani bila shaka kwamba baada ya US basi inafuata Russia kwenye medali za kivita.
Ila kwa kilichotokea ukraine taifa hili limevuliwa nguo kabisa.
Wengi hawafuatilii historia ya hii vita tangu february, ni kwamba Russia ameshindwa hii vita, sasa hivi alichofanya ni uhuni wa kujitangazia mikoa ambayo hata kuitwaa kwa 100% bado.
Jamaa kaona kusubiri chakula kìiive hataweza maana nguvu hana za kubeba mezani.
Ukitaka kuelewa Russia kachemka cheki alivyofurushwa kwenye ramani hapo chini.
Huyo ni crimea anashushwa ni swala la mda tuu