Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Ndugu wasalimu hapo buza kwanza,ila chai umesha kunywa?Kama bado karibu chai hapa Zaporinhnzia🤸Ni aibu sana kwa taifa ambalo tuliaminishwa ni manguli wa vita,na kiukweli walifanya ulimwengu utie imani bila shaka kwamba baada ya US basi inafuata Russia kwenye medali za kivita.
Ila kwa kilichotokea ukraine taifa hili limevuliwa nguo kabisa.
Wengi hawafuatilii historia ya hii vita tangu february, ni kwamba Russia ameshindwa hii vita, sasa hivi alichofanya ni uhuni wa kujitangazia mikoa ambayo hata kuitwaa kwa 100% bado.
Jamaa kaona kusubiri chakula kìiive hataweza maana nguvu hana za kubeba mezani.
Ukitaka kuelewa Russia kachemka cheki alivyofurushwa kwenye ramani hapo chini.
Huyo ni crimea anashushwa ni swala la mda tuu
View attachment 2373293
Kabisa mkuuPutin anachofanya sasa hivi ni propaganda ili aonekane kwamba anashinda.
Mojawapo ya hizo propaganda ni hiyo annexation 🤔
Jamaa huu mwaka hatoboiRaia wanapigishwa kura kizembe na kukubali kuwa sehemu ya urusi badala ya kuleta upinzani. Askari wenu wanauwawa kuwapigania mnashindwa hata kuandamana?
Ccm hapa huwarubuni kwa chumvi bila mtutu wezenu wamewekewa mtutu mdomoni kwann nisipige nifumuliwe ubongo wakati HIMARS ipoRaia wanapigishwa kura kizembe na kukubali kuwa sehemu ya urusi badala ya kuleta upinzani. Askari wenu wanauwawa kuwapigania mnashindwa hata kuandamana?
Ngoja tusubiri maana ilitaiwa utlist kuwe na matukio kama raia kuchoma vituo vya kura, maandamano, wasimamizi kupigwa mawe etc.Jamaa huu mwaka hatoboi
Ccm hapa matukio yapo kawaulize zanzibar, mtwara huko na baadhi ya maeneo kama kutuliza raia ilikuwa kazi nyepesi. Sasa kule ni adui ndo msimamizi, wanakosekana hata raia wa kuandamana kupinga uchaguzi?Ccm hapa huwarubuni kwa chumvi bila mtutu wezenu wamewekewa mtutu mdomoni kwann nisipige nifumuliwe ubongo wakati HIMARS ipo
Ripoti hiyo imeandaliwa na shabiki nguli wa Namungo akiwa NangurukuruNi aibu sana kwa taifa ambalo tuliaminishwa ni manguli wa vita,na kiukweli walifanya ulimwengu utie imani bila shaka kwamba baada ya US basi inafuata Russia kwenye medali za kivita.
Ila kwa kilichotokea ukraine taifa hili limevuliwa nguo kabisa.
Wengi hawafuatilii historia ya hii vita tangu february, ni kwamba Russia ameshindwa hii vita, sasa hivi alichofanya ni uhuni wa kujitangazia mikoa ambayo hata kuitwaa kwa 100% bado.
Jamaa kaona kusubiri chakula kìiive hataweza maana nguvu hana za kubeba mezani.
Ukitaka kuelewa Russia kachemka cheki alivyofurushwa kwenye ramani hapo chini.
Huyo ni crimea anashushwa ni swala la mda tuu
View attachment 2373293
Retreating on Media.