Baada ya kuona Nguvu Kubwa inatumika Kumpamba Aziz K dhidi ya Chama ngoja nimalize Ubishi leo

Acha kumlinganisha hiyo takataka yenu na chezaji la kimataifa Aziz Ki. Labda umlinganishe na Farid na bado sioni kama ubora wa Chama unaweza kumfikia Farid
 
Acha kumlinganisha hiyo takataka yenu na chezaji la kimataifa Aziz Ki. Labda umlinganishe na Farid na bado sioni kama ubora wa Chama unaweza kumfikia Farid
Tupe statistic za aziza ki akiwa utopoloni ligi kuu na club bingwa na allien(chama) ligi kuu na klub bingwa
Kuna 10k ya vocha hapa nikutumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…