Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Ukimuona Aziz Ki usimfuate huo ni mtego. Naona watu bado mnazidi kumfata fata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni maiti ila hawezishindana na Allien(chama) ana vingi vya kujifunza kwa chamaAzizi KI sio binadamu tena
Tupe statistic za aziza ki akiwa utopoloni ligi kuu na club bingwa na allien(chama) ligi kuu na klub bingwaAcha kumlinganisha hiyo takataka yenu na chezaji la kimataifa Aziz Ki. Labda umlinganishe na Farid na bado sioni kama ubora wa Chama unaweza kumfikia Farid
Mmh huko kinyeto sasa..Kutoka kinyeto
Kisinda mwenye spidi ya jet aliweza huko morokoJamaa spidi ya konokono ndiyo maana alishindwa Morroco
Dung'unyi, Kideka na Kipumbuiko.Kutoka kinyeto