Baada ya kuona status yangu nakunywa bia, amenipenda kwa kasi ya ajabu

Baada ya kuona status yangu nakunywa bia, amenipenda kwa kasi ya ajabu

they love materiality things and there so optimistic in nature.
wololo yaye kimoda hicho in dj afro voice
 
Usione anakucheka anataka bia za bure, usione kaja ghetto anataka pesa ya kijora
 
Habari wakuu

Hakika wanawake kuwaelewa ni ngumu mno, ni mwezi mmoja umepita tangu nilivyomuapproach mtoto mmoja hapa jiji la joto na akanitolea nje.

Nikapambana kila namna lakini mtoto hakunielewa ndani ya siku 4 nikajikatia tamaa. Ilibaki tunaonana kupitia status za wasap pasipo kucoment chochote

Wikiend hii nilijichanganya kiwanja nikatulia napiga zangu Serengeti lite..Tungi lilipozidi nilijikuta nimepost selfie niko na bia kama tano hivi.

Hapohapo yule mtoto alipoiview tu basi akili yake ikamruka...hee kumbe unakunywa bia? Nikajisemea tu napunguza mawazo..Hapo ndio akajiset na kuuliza lini niwe nae anipe kile nataka.

Hapa najiuliza hivi ni hizi bia tu ndio zimemfanya mtoto adate kiasi hiki, maana sio kwa sms na calls za fujo.

Hivi wanawake nini kinawapendeza? Mwanzo nilikuingia kiuchungaji ukazingua, kuona bia tu basi mambo yamekubali.

Wanawake mueleweke vipi lakini.

Subiri pombe iishe kichwani halafu ulete mrejesho
 
Ngoja na Mimi nione PM yangu km Kuna hello
IMG_20210530_223855.jpg
 
Itakua bar medi tu ndio maana bia imemvuta
 
Serengeti lite unalewa? au ulikunywa kreti 100?
 
Habari wakuu

Hakika wanawake kuwaelewa ni ngumu mno, ni mwezi mmoja umepita tangu nilivyomuapproach mtoto mmoja hapa jiji la joto na akanitolea nje.

Nikapambana kila namna lakini mtoto hakunielewa ndani ya siku 4 nikajikatia tamaa. Ilibaki tunaonana kupitia status za wasap pasipo kucoment chochote

Wikiend hii nilijichanganya kiwanja nikatulia napiga zangu Serengeti lite..Tungi lilipozidi nilijikuta nimepost selfie niko na bia kama tano hivi.

Hapohapo yule mtoto alipoiview tu basi akili yake ikamruka...hee kumbe unakunywa bia? Nikajisemea tu napunguza mawazo..Hapo ndio akajiset na kuuliza lini niwe nae anipe kile nataka.

Hapa najiuliza hivi ni hizi bia tu ndio zimemfanya mtoto adate kiasi hiki, maana sio kwa sms na calls za fujo.

Hivi wanawake nini kinawapendeza? Mwanzo nilikuingia kiuchungaji ukazingua, kuona bia tu basi mambo yamekubali.

Wanawake mueleweke vipi lakini.

Kuna mtu alisema humu hawajulikani wanachokitaka na siku ukigundua ujuwe unakaribia kufa😅😅...
 
Mkuu umenikumbusha kitu. Kuna Binti mmoja mtaani kwetu alikuwa akisifika kwa uhuni, mitusi, ugomvi na ulevi hadi wazazi wake wakawa wamenyoosha mikono maana walimshindwa kwa tabia zake ameshalala sana Mahabusu na kutolewa.

Sasa kuna Jamaa alijitokeza kutaka kumuoa. Wazazi walikataa kupokea Mahari wakamruhusu jamaa achukue mke tu. (Wazazi waliona ni kama wametua mzigo na walijua huyu ataachwa tu siku si nyingi)

Cha ajabu hadi sasa ishapita miaka 10 yule binti bado yupo na mumewe na ana watoto wawili. Wote wawili walevi wazuri sana.
[emoji16][emoji16][emoji16]alipata wa kufanana nae

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom