Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Waungwana naamini mko poa, kunajambo nimetafakari ya kuwa katambi yule waziri fake wa mambo ya ndani baada ya kuona genge lao la wateka, wauwaji, mafisadi na Macartel ya mafuta limepuuzwa sasa wameona waje na kuita wasanii polisi
Kwa akili yangu hii ni kujaribu kudraw attention kwa wajinga so naomba tuwapuuze hao wanaoitwa wasanii.
Kwa akili yangu hii ni kujaribu kudraw attention kwa wajinga so naomba tuwapuuze hao wanaoitwa wasanii.