Baada ya kuona wamepuuzwa wamekuja na kiki ya Machawa wao wanaowaita wasanii

Kiboko ya Mazwazwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2026
Posts
1,802
Reaction score
3,271
Waungwana naamini mko poa, kunajambo nimetafakari ya kuwa katambi yule waziri fake wa mambo ya ndani baada ya kuona genge lao la wateka, wauwaji, mafisadi na Macartel ya mafuta limepuuzwa sasa wameona waje na kuita wasanii polisi

Kwa akili yangu hii ni kujaribu kudraw attention kwa wajinga so naomba tuwapuuze hao wanaoitwa wasanii.
 
Poleni kwa mnaowafatilia hao waliyoitwa

Ova
 
mmekula kwanza ? Ndizi hizi sio poa . Waache waitikie wito . Acheni kujifanya kila kitu mnajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…