Tzhacker 000
JF-Expert Member
- Dec 11, 2017
- 659
- 689
Kam kawaida baharia wa buza muhimu uzima na uko kwako pond rahaaa chafu chafu na ambazo hazina mpangilio kama ghetto lako
NI GHETTO LANGU TUU LINALO WAZINGUA MADUU LINA NIPA CHAT KIJITONYAMA MPAKA EAST ZUU
Maisha ya ghetto matamu jaman alafu maduu wanalikubali ghetto langu mpaka sielew an..
Hebu nambieni niongeze nn na nn apa ili ghetto langu lizidi kuwa bomba zaid..
Ukiona wivu na ww kapange ghetto lako uliboreshe liwe zuri kama hili langu
Panya walio karibu kuzaa wanaona ghetto liko sawa kuzaanaSamahani OP.
Hao jinsia ya kike wanaopenda geto lako ni binadamu au mende wa kike?
Anaanza au ana malizia maana vitu vyote zimechooookaaa kaokota vitu vya ghetto loote jalalani ?Daa inaonekana ndio unaanza kujitegemea
Samahani OP.
Hao jinsia ya kike wanaopenda geto lako ni binadamu au mende wa kike?
Ungana na huyu , mpeana pongezi
NI GHETTO LANGU TUU LINALO WAZINGUA MADUU LINA NIPA CHAT KIJITONYAMA MPAKA EAST ZUU
Maisha ya ghetto matamu jaman alafu maduu wanalikubali ghetto langu mpaka sielew an..
Hebu nambieni niongeze nn na nn apa ili ghetto langu lizidi kuwa bomba zaid..
Ukiona wivu na ww kapange ghetto lako uliboreshe liwe zuri kama hili langu
hongera bwana mdogo

BinadamuSamahani OP.

Yeah