Baada ya kupambana sana hili ndio ghetto langu

16807557_1846102052332786_2143727914303567114_n.jpg

NI GHETTO LANGU TUU LINALO WAZINGUA MADUU LINA NIPA CHAT KIJITONYAMA MPAKA EAST ZUU
Maisha ya ghetto matamu jaman alafu maduu wanalikubali ghetto langu mpaka sielew an..
Hebu nambieni niongeze nn na nn apa ili ghetto langu lizidi kuwa bomba zaid..
Ukiona wivu na ww kapange ghetto lako uliboreshe liwe zuri kama hili langu
Kam kawaida baharia wa buza muhimu uzima na uko kwako pond rahaaa chafu chafu na ambazo hazina mpangilio kama ghetto lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
16807557_1846102052332786_2143727914303567114_n.jpg

NI GHETTO LANGU TUU LINALO WAZINGUA MADUU LINA NIPA CHAT KIJITONYAMA MPAKA EAST ZUU
Maisha ya ghetto matamu jaman alafu maduu wanalikubali ghetto langu mpaka sielew an..
Hebu nambieni niongeze nn na nn apa ili ghetto langu lizidi kuwa bomba zaid..
Ukiona wivu na ww kapange ghetto lako uliboreshe liwe zuri kama hili langu
Ungana na huyu , mpeana pongezi

hongera bwana mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom