Baada ya kupata kazi serikalini unaondokaje kwenye ajira yako ya mkataba uliobakiza miezi 2 uishe?

Baada ya kupata kazi serikalini unaondokaje kwenye ajira yako ya mkataba uliobakiza miezi 2 uishe?

Baada ya kupata kazi serikalini unaondokaje kwenye ajira yako ya mkataba uliobakiza miezi 2 uishe?
Na manufaa utakayo yapata ni yapi??
1. Toa Notisi ya siku 30 kama tarehe ya kuripoti Serikalini iko na siku zaidi ya 30

2. Toa notisi ya siku 1 (masaa 24) halafu walipe mshahara wa mwezi mmoja kama ulikuwa umechukua mshahara wa Oktoba. Kama hujachukua toa notisi wajulishe wasikulipe mshahara
 
Mkataba ni wa mwaka unaisha decemba.
Leo ndo nimeona jina utumishi
Anasubiria ajira mpya wakuite,

Unaonba ruhusa kwa mwajiri wa zamani ya 2 weeks, eidha zarura au za likizo kama zipo, unaenda ajira mpya unakamilisha mchakato wa ajira then unaomba one month uhamishe familia

Unarudi kwa mwajiri wa zamani unamalizia mkataba then unaenda kwa mwajiri mpya kuanza kazi rasmi
 
Baada ya kupata kazi serikalini unaondokaje kwenye ajira yako ya mkataba uliobakiza miezi 2 uishe?

Na manufaa utakayo yapata ni yapi?
Hongera.
Karibuni katika Utumishi wa Umma, Watanzania wana matarajio makubwa kutoka kwenu kwa utumishi wenu, tunatarajia mtafanya kazi kwa weledi, ari na nguvu mpya na kutanguliza mbele uzalendo.
 
Baada ya kupata kazi serikalini unaondokaje kwenye ajira yako ya mkataba uliobakiza miezi 2 uishe?

Na manufaa utakayo yapata ni yapi?
Hapo cheza kama Pele. Omba ruhusa ya wiki moja unaenda kuchukua barua.. unasingizia chochote... den unaenda report halfu ukifika huko unachukua likizo ya kujiandaa wiki mbili tayri mwezi unakatika.. sehemu zingine unarudishwa nyumbani hadi zoezi la uhakiki wa vyeti utamatike ndo mnaitwa kuanza kufanya kazi au mwingie kwenye payrolll.. na inaweza chukua ht miezi miwili
 
Baada ya kupata kazi serikalini unaondokaje kwenye ajira yako ya mkataba uliobakiza miezi 2 uishe?

Na manufaa utakayo yapata ni yapi?
Unachotakiwa kufanya ni kumuandikia barua mwajiri wako na kumuambia kuwa unaacha kazi kwa kufanya kazi bure kwa mwezi mmoja au kumlipa mwajiri wako mshahara wako mwezi mmoja.
 
Back
Top Bottom