Baada ya kupata pedeshee mpya, Wolper kubadili Dini tena....

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Diva anayekimbiza kwenye kiwanda cha filamu hapa bongo, Jackline Massawe au kwa jina maarufu la Wolper, kwa mara nyingine ameripotiwa kuangukia kwenye mikono ya pedeshee ambaye ndiye anayempa jeuri ya fedha kwa sasa.

Pedeshee huyo anayedaiwa kumpangishia nyumba ya kisasa mrembo huyo na kumpa jeuri ya kufanya matanuzi hapa mjini, anadaiwa kutaka kumbadili dini staa huyo ili awe muislam kwa mara ya pili.

Licha ya maisha yake kubadilika na kuwa na mkwanja mrefu, Wolper mwenyewe amekuwa akifanya siri juu ya maisha yake mapya yenye neema kutoka kwa mwanaume huyo ambaye ndiye ATM yake kwa sasa. kwa kuhofia kupatwa na aibu kama sio fedheha kama ilivyotokea kwa aliyekuwa laaziz wake maarufu kwa jina la Dallas, mrembo huyo ameamua kufanya siri kubwa juu ya mahusiano yake mapya kwa kuogopa wambea wa mujini.
 
Mbona huyo pedeshee hujamtaja? Hapa hakuna jina kuhifadhiwa muweke wazi
 
Baadhi ya wanawake wa bongo movie huwa nahisi hawana akili timamu
 
Binamu ulipotea sana aiseee vipi ulipewa burn ya muda mrefu nini
 
Hivi hawa bongo movie lazima wategemee mapedeshee.Ni kweli haya maigizo hayalipi au wanaigiza hadi kwenye maisha yao halisi?????Namuonea huruma sana.
 
Akishabadili dini tu, akihojiwa utamsikia: "Kwanza mie tangu zamani naupenda sana Uislamu na hata ndugu zangu wengine ni waislamu... ma' mdogo nae muislam..!"

Tatizo waandishi wa udaku huwa hawaulizi kama ndivyo, mbona hukusilimu tangu zamani!!
 
Itafika mahali atasahau hata dini yake ya asili na nilidhani kanunuliwa nyumba kumbe kapangishiwa!!!! Kikinuka unatupiwa virago anaanza tena upya kutafuta pedezee mwingine!upimbi mtupu bongo tuna pedezee au tuna wasaka Tonge tu?

Hawa mabongo movies manyuchi zao zinzfumuliwa mpaka zinachefua pambav
 
Back
Top Bottom