Baada ya kupata pedeshee mpya, Wolper kubadili Dini tena....

Sipati picha hawa warembo wakike siku waamke gafla wajikute wamebadilika jinsia, maisha yao yatakuwa magumu sana....life without k zinazowaweke mjini...
 
Watauza ile ingine asee sababu hawataki kujituma kuwa wajasiria mali wao ni kutaka vitu kirahisirahisi tuu loh na wataisoma namba
 
Kuna wale wengine wanaotumia nusu ya siku kupost picha za makalioyao Instagram as if makalio ndio gamba la masters, nyambaffff....
 
Itafika mahali atasahau hata dini yake ya asili na nilidhani kanunuliwa nyumba kumbe kapangishiwa!!!! Kikinuka unatupiwa virago anaanza tena upya kutafuta pedezee mwingine!upimbi mtupu bongo tuna pedezee au tuna wasaka Tonge tu?

wolper anapenda sana kuolewa yuko tayari ht kua freemason ili aolewe
 
Hajielewi huyo, kwa mtindo huo wa kutegemea mapedeshee atayumba sana. Tatizo wadada wakipata pedeshee badala ya kufikiria kuwekeza kwenye mambo ya maana, wanaridhishwa na kupangishiwa majumba ya kifahari, magari ya kuazimwa na pesa za kutanua mjini.
 
Sipati picha hawa warembo wakike siku waamke gafla wajikute wamebadilika jinsia, maisha yao yatakuwa magumu sana....life without k zinazowaweke mjini...

mkuu umenichekesha saana sijui ulikuwa unawaza nini
 
Sipati picha hawa warembo wakike siku waamke gafla wajikute wamebadilika jinsia, maisha yao yatakuwa magumu sana....life without k zinazowaweke mjini...

Heee, kwa taarifa yako hawa ni two in one. Ikiwa hivyo watabaki na access ya side B...
 
Itafika mahali atasahau hata dini yake ya asili na nilidhani kanunuliwa nyumba kumbe kapangishiwa!!!! Kikinuka unatupiwa virago anaanza tena upya kutafuta pedezee mwingine!upimbi mtupu bongo tuna pedezee au tuna wasaka Tonge tu?

Ila kavumilia kwa kwel mwache apate pedeshee kwa kweli alipigika mno
 
Maisha ya hovyo sana hayo warumi yani mtu anaishi kutegemea mfuko wa fulani yani akili yake yote ndio imegota hapo
Lile BMW x5 lenye namba za bodaboda linaozea pale majembe
 
Last edited by a moderator:
Ila kavumilia kwa kwel mwache apate pedeshee kwa kweli alipigika mno

Huyu niliona kule insta wanasema anaachika kila kukicha maana na mbunye inatema balaaa sasa sijui kishapata suluhu...
 
Back
Top Bottom