agrib4life
Member
- Jul 31, 2022
- 72
- 88
Kwa sisi ambao tumekuwa tukifanya biashara ya kusambaza vifungashio kwa watumiaji Kama vile magengeni, madukani nk baada ya hili katazo la mkuu wa mkoa la vifungashio vya plastic imepelekea sisi wafanyabiashara kurudi nyuma kiuchumi.
Je, vifungashio vipi vimeletwa ili kuziba pengo la vifungashio vilivyokatazwa? Je na Bei ya jumla kwenye maduka ya vifungashio vinauzwa Bei gani?
Pia Kama ikiwezekana tunaomba na msaada wa picha kwa sisi ambao hatuvifahamu hivyo vifungashio vipya vilivyoruhusiwa na serikali.