Baada ya kupigwa marufuku vifungashio vya plastiki, mbadala wake ni nini?

agrib4life

Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
72
Reaction score
88
Kwa sisi ambao tumekuwa tukifanya biashara ya kusambaza vifungashio kwa watumiaji Kama vile magengeni, madukani nk baada ya hili katazo la mkuu wa mkoa la vifungashio vya plastic imepelekea sisi wafanyabiashara kurudi nyuma kiuchumi.

Je, vifungashio vipi vimeletwa ili kuziba pengo la vifungashio vilivyokatazwa? Je na Bei ya jumla kwenye maduka ya vifungashio vinauzwa Bei gani?

Pia Kama ikiwezekana tunaomba na msaada wa picha kwa sisi ambao hatuvifahamu hivyo vifungashio vipya vilivyoruhusiwa na serikali.
 
Vimepigwa marufuku wapi? Mifuko ya Rambo tu ndio haipo mtaani .
Namaanisha hizi soft nyeupe ambazo hata ukienda Kununua firigisi , gengeni , samaki au nyanya Walikuwa wanatumia kuwafungia wateja. Hata wauza miwa pia wamevitumia Sana kufungia miwa iliyokatwakatwa na kumenywa
 
@Mchimba Chumvi
 
Mifuko ya plastiki itapigwa marufuku, tunapata upungufu halafu zitaletwa tena plastiki nyingine 'mbadala' 😏

Lakini si kuna vifungashio kama vifungashio ama? Sema miwa huwez weka kwenye vifungashio labda tutapunguza matumizi au kuongeza urudishaji upya badala ya kuviondosha mazima
 
Kwa wanao hitaji
PRICE%20LIST.jpg
 
Kwa sisi ambao tumekuwa tukifanya biashara ya kusambaza vifungashio kwa watumiaji Kama vile magengeni, madukani nk baada ya hili katazo la mkuu wa mkoa la vifungashio vya plastic imepelekea sisi wafanyabiashara kurudi nyuma kiuchumi.

Je vifungashio vipi vimeletwa ili kuziba pengo la vifungashio vilivyokatazwa? Je na Bei ya jumla kwenye maduka ya vifungashio vinauzwa Bei gani?

Pia Kama ikiwezekana tunaomba na msaada wa picha kwa sisi ambao hatuvifahamu hivyo vifungashio vipya vilivyoruhusiwa na serikali.
ni paper bag za rangi ya kaki bei yake sijui mkuu
 
Kwa sisi ambao tumekuwa tukifanya biashara ya kusambaza vifungashio kwa watumiaji Kama vile magengeni, madukani nk baada ya hili katazo la mkuu wa mkoa la vifungashio vya plastic imepelekea sisi wafanyabiashara kurudi nyuma kiuchumi.

Je, vifungashio vipi vimeletwa ili kuziba pengo la vifungashio vilivyokatazwa? Je na Bei ya jumla kwenye maduka ya vifungashio vinauzwa Bei gani?

Pia Kama ikiwezekana tunaomba na msaada wa picha kwa sisi ambao hatuvifahamu hivyo vifungashio vipya vilivyoruhusiwa na serikali.
Sioni mantiki ya kuzuia mifuko ya plastic alafu tukaacha chupa za energy zinazagaa kila mahali mtaani.
 
wakibadili rangi ya hizi chupa chap hutaziona tena
Aisee zinakera huko mtaani mpaka basi, kuna wakati natamani nikutana na mtu ameshika energy drink nimzabe kibao. Kwa sababu wanatupa kila mahali. Bahata mbaya sana zinanyweka kuliko hata maji.
 
Waandae na pesa za kutibu magonjwa ya moyo, presha na nduguze hapo mbeleni.
 
Back
Top Bottom