agrib4life
Member
- Jul 31, 2022
- 72
- 88
Namaanisha hizi soft nyeupe ambazo hata ukienda Kununua firigisi , gengeni , samaki au nyanya Walikuwa wanatumia kuwafungia wateja. Hata wauza miwa pia wamevitumia Sana kufungia miwa iliyokatwakatwa na kumenywaVimepigwa marufuku wapi? Mifuko ya Rambo tu ndio haipo mtaani .
@Mchimba ChumviNamaanisha hizi soft nyeupe ambazo hata ukienda Kununua firigisi , gengeni , samaki au nyanya Walikuwa wanatumia kuwafungia wateja. Hata wauza miwa pia wamevitumia Sana kufungia miwa iliyokatwakatwa na kumenywa
ni paper bag za rangi ya kaki bei yake sijui mkuuKwa sisi ambao tumekuwa tukifanya biashara ya kusambaza vifungashio kwa watumiaji Kama vile magengeni, madukani nk baada ya hili katazo la mkuu wa mkoa la vifungashio vya plastic imepelekea sisi wafanyabiashara kurudi nyuma kiuchumi.
Je vifungashio vipi vimeletwa ili kuziba pengo la vifungashio vilivyokatazwa? Je na Bei ya jumla kwenye maduka ya vifungashio vinauzwa Bei gani?
Pia Kama ikiwezekana tunaomba na msaada wa picha kwa sisi ambao hatuvifahamu hivyo vifungashio vipya vilivyoruhusiwa na serikali.
Unatengeneza mwenyewe auAngalia beiView attachment 2415892
Ndio natengeneza mwenyeweUnatengeneza mwenyewe au
Sioni mantiki ya kuzuia mifuko ya plastic alafu tukaacha chupa za energy zinazagaa kila mahali mtaani.Kwa sisi ambao tumekuwa tukifanya biashara ya kusambaza vifungashio kwa watumiaji Kama vile magengeni, madukani nk baada ya hili katazo la mkuu wa mkoa la vifungashio vya plastic imepelekea sisi wafanyabiashara kurudi nyuma kiuchumi.
Je, vifungashio vipi vimeletwa ili kuziba pengo la vifungashio vilivyokatazwa? Je na Bei ya jumla kwenye maduka ya vifungashio vinauzwa Bei gani?
Pia Kama ikiwezekana tunaomba na msaada wa picha kwa sisi ambao hatuvifahamu hivyo vifungashio vipya vilivyoruhusiwa na serikali.
wakibadili rangi ya hizi chupa chap hutaziona tenachupa za energy
Aisee zinakera huko mtaani mpaka basi, kuna wakati natamani nikutana na mtu ameshika energy drink nimzabe kibao. Kwa sababu wanatupa kila mahali. Bahata mbaya sana zinanyweka kuliko hata maji.wakibadili rangi ya hizi chupa chap hutaziona tena
Waandae na pesa za kutibu magonjwa ya moyo, presha na nduguze hapo mbeleni.Aisee zinakera huko mtaani mpaka basi, kuna wakati natamani nikutana na mtu ameshika energy drink nimzabe kibao. Kwa sababu wanatupa kila mahali. Bahata mbaya sana zinanyweka kuliko hata maji.