Baada ya kupima UKIMWI leo

Mwezi 1 uliopita kulikuwa na zoezi la kupima Afya kwa hiari kwa uzamini shirika la NSSF, nilijikuta naenda kupima tezi ndume, pressure, sukari na HIV ilikuwa ni mara ya kwanza. Kipimo cha papo kwa papo niko salam kabisa.
 
Hahahahhahaaaa hongera ,, inaelekea HIV inatisha mpka ukaiandika kwa heruf kubwa n magonjwa mengind kwa small letter
 
Kwa kua umefanyiwa tohara pia hiyo imekusaidia ndg yangu ila usirudie kukata mkia wa simba ukajua kafa kumbe amelala tu.
 
Hahahahhahaaaa hongera ,, inaelekea HIV inatisha mpka ukaiandika kwa heruf kubwa n magonjwa mengind kwa small letter
Asante ni hatari sana kusubiria Majibu ni mara yangu ya kwanza kupima.
 
Ingekua poa sana kama wale wanao kutwa na HIV postve nao wangekua wanarud kutoa ushaur na kutaja faida za kupima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…