Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
ile ya 1-10Rate ipi tena shemeji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ile ya 1-10Rate ipi tena shemeji?
Hahahahhahaaaa hongera ,, inaelekea HIV inatisha mpka ukaiandika kwa heruf kubwa n magonjwa mengind kwa small letterMwezi 1 uliopita kulikuwa na zoezi la kupima Afya kwa hiari kwa uzamini shirika la NSSF, nilijikuta naenda kupima tezi ndume, pressure, sukari na HIV ilikuwa ni mara ya kwanza. Kipimo cha papo kwa papo niko salam kabisa.
Asante ni hatari sana kusubiria Majibu ni mara yangu ya kwanza kupima.Hahahahhahaaaa hongera ,, inaelekea HIV inatisha mpka ukaiandika kwa heruf kubwa n magonjwa mengind kwa small letter