Baada ya kupisha internationals break hatimaye EPL inarudi tena

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
WEEKEND HIII
Fulham, watakuwa nyumbani kuwakaribisha jeshi la Guadiola, kumbuka hapa Manchester city wana tetea ubingwa wao huku Fulham wana pambana na msala wa kuto shuka daraja, bonge moja la mechi Hii.

Brighton
Hawa watakuwa nyumbani kuwa karibisha wahuni wa jiji Southampton ndio kiboko wa vigogo yani vigogo Wa epl wakikutana na huyu Southampton basi mziki unakuwa mkubwa. Kumbuka tu hawa jamaa wamepisha nafasi moja mmoja yupo chini mwingine yupo juu, hii game ngumu sana lolote linaweza kutokea.

Burnley
Wapo nyumbani kuwa karibisha wababe wa mji, Wolverhampton bonge moja la game, kumbuka Wolverhampton hawana hata presha ya kushuka daraja ila watahitaji matokeo ya ushindi kuongezea tu uimara wao wa kuto shuka daraja.
Ila msala anao huyo Burnley yupo kwenye hatari sana ya kushuka daraja hii game ni muhimu sana kwake kushinda.

Crystal palace
Hawa watakuwa nyumbani kuwa karibisha Huddersfield, bonge moja la mechi hili game la kufa na kupona hii, kumbuka hapa C.palace wanahitaji kushinda hii game kuboresha nafasi yao ya kubaki ligi kuu, na huyu Huddersfield wapo mkiani huko wana pambana kuto shuka daraja hii game tamu sana...

Leicester city
Mbwa mwitu hawa watakuwa kwenye pori lao la King power kuwa karibisha Bournemouth kumbuka hawa wote hawana hata presha ya kushuka daraja ila katika harakati za kujiimarisha tu inabidi kila mtu azisake points tatu hapo maana kama Leicester atafungwa basi atashushwa chini na huyo Bournemouth kupanda na kama Bournemouth atafungwa basi atabaki hapo hapo TU alipo.
Hakuna uwanja mgumu pale EPL kama king power.

Manchester united
Mashetani wekundu watakuwa nyumbani kuwa karibisha wabishi hawa Watford, kumbuka hiyo game mwenye presha ni Man u, hawa wanaisaka Top 4 kwa hudi na uvumba kumbuka wanacheza na mtu ambae hana presha yeyote yani hawezi kushuka daraja wala hayupo kwenye mbio za ubingwa wala Top 4 yani hana hata presha, Ogopa sana kucheza na team ambayo haina cha kupoteza wakati wewe unacho cha kupoteza.

West Ham United
Wapo nyumbani hawa kuwa karibisha wagumu Everton, hii game kila mtu hana hata cha kupoteza hii, kwaiyo game itakuwa ya kawaida haina presha sana ila kila mtu atazisaka points kuongeza kwenye kibubu chake, kujiweka kwenye usalama zaidi.

*HIZO NDIO GAME ZA WEEKEND HII SIKU YA JUMA MOSI*
#EPL_IMERUDI
#UHONDO_UMERUDI
#PURUKUSHANI_ZIMERUDI

IMG-20190309-WA0010.jpeg

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Hii safi..angalau nimejua turufu yangu niweke wapi
 
Siku za presha kwa mifegi zimekaribia
 
View attachment 1054367

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Thats a race for top 6

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ligi ilipofikia sasa n patam kweli ila mkuu AROON umesahau vita iliyopo kwenye kugombea nafasi 7ya ambayo MTU anaenda uropa ukiachana na hao top six vita yao ya top 4 na nafasi ya 5na6 wanaungana wa7 kwenda uropa
Hapo ndo kuna kundi LA wolves, Watford, westham,leister,bounmouth hili kundi kila MTU mechi zake zinahtaji ushndi
 
Huddersfield, ndo kasha shuka ligi hivyo kapigwa 2 bila
 
Back
Top Bottom