Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,523
- 5,159
1:Akili ni nini?
2:Akili inapatikana wapi,ikiwa maana kwamba mtu anazaliwa nayo au anaipata shuleni?
3:Ikiwa anazaliwa nayo,kwanini shuleni akifeli anaambiwa hana akili?
Ikiwa anaipata shuleni,kwann mtu humwambia mwanae hana akili angali mwanaebbqdo hajaenda Shuler?
4:Tofauti ya akili na maarifa ni nini?
Wakati nakwenda Kazini asubuhi nikapita sehemu nikakuta mzozo mkubwa sana,lakini katika mzozo huo jambo lililokuwa linahusishwa ni kukosa akili.
LABDA TUNAWEZA PATA MAJIBU TOFAUTI