Baada ya kupitia nyuzi mbalimbali za biashara nimeangukia kwenye hili!

HAPO ULIVYOSEMA IPO BADO KWENYE PROCESS NIMEELEWA...CASE SOLVED
 
Mkuu umefanya vema kuanza tutaendelea kujuzana hapahapa na me nipo on the way kuanza biashara ya retail kwenye mtandao nitaanzia hap support yenu wana JF inaitajika
 
Niche gani ambayo umeichagua au utauza kila aina ya bidhaa?

Soma hiki kitabu kina muongozo mzuri sana kwa tech startup ndogo ndogo zinazohitaji mitaji midogo.
asante kwa kitabu,,, i hope it will add value to my plan on starting an online store
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…