Baada ya kupitia nyuzi mbalimbali za biashara nimeangukia kwenye hili!

Baada ya kupitia nyuzi mbalimbali za biashara nimeangukia kwenye hili!

Mkuu, sijui nianze kukuelewesha wapi, ila anyway.....Ukisoma kitu nakushauri turn your mind into positive way ili usitoke kwenye concept ya mada husika!

Nimesema itafanana na befoward.jp (which means iko kwenye process)

Karibu kwa swali la nyongeza[emoji23][emoji23][emoji23]
HAPO ULIVYOSEMA IPO BADO KWENYE PROCESS NIMEELEWA...CASE SOLVED
 
Mkuu umefanya vema kuanza tutaendelea kujuzana hapahapa na me nipo on the way kuanza biashara ya retail kwenye mtandao nitaanzia hap support yenu wana JF inaitajika
 
Niche gani ambayo umeichagua au utauza kila aina ya bidhaa?

Soma hiki kitabu kina muongozo mzuri sana kwa tech startup ndogo ndogo zinazohitaji mitaji midogo.
asante kwa kitabu,,, i hope it will add value to my plan on starting an online store
 
Back
Top Bottom