Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,272
Habari zenu wakuu!
Kwenye suala zima la biashara nimeamua kuingia miguu miwili au "kuzama mzima mzima" kwenye biashara ya mtandao!
Ninafungua online store kwa ajili ya kuuza vitu mbalimbali kwa uweledi mkubwa wa kiwango cha juu kabisa, soon nitatambulisha kwenu hiyo store yangu ili muweze kuniunga mkono na kutanuka kimasoko zaidi.
Kwenye store hiyo,, nitauza vitu vya ndani ya nchi, viwe used au new, pia kumsaidia mteja kununua kutoka nje ya nchi na kumkabidhi mkononi...
Tutakuwa na partner tofauti tofauti ili kuifanya biashara hii isimame zaidi
Store yangu itakuwa kama ile ya befoward.jp haitatofautiana sana,
HQ ya store hii itakuwa Mjini Morogoro(tutafahamishana vizuri location n.k)
Huduma zitakuwa nzuri za uhakika na kuaminika.
Kwa mwenye ushauri, maoni au mwenye lolote anaweza kuniambia hapa au PM.
Tuungane mkono, sisi ni familia moja.
Ahsanteni na karibuni.