Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Daaaah... ACT nao eti wanatoa mlio kwa issue hii?
===
"Tumefanya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, na tumeona mapungufu makubwa. Kwa mfano, Kanuni za Maadili zinawalazimisha vyama kusaini makubaliano yanayokiuka Katiba, na kuwanyima haki ya kushiriki uchaguzi. Hili ni uvunjaji wa wazi wa haki za kisiasa!"
"Kwa hiyo, nawaarifu kuwa Chama chetu, kwa kushirikiana na asasi za kiraia, kitafungua kesi za kisheria kupinga kanuni hizi. Tutatumia kila njia ya kisheria na ya amani kupigania haki yetu! Zaidi ya hayo, tunawahimiza Watanzania wote kujiunga na mapambano haya."
"Hatutawahi kukubali kurudi kwenye uchaguzi wa 2019, 2020, au 2024, ambao ulikuwa aibu kwa taifa letu. Tumechoka na viongozi wanaoingia madarakani kwa wizi na jeuri sasa ni wakati wa viongozi wa kura za wananchi! Tuamke." - Dorothy Semu, Kiongozi wa ACT-Wazalndo kupitia ukurasa wake wa X