Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Stop that, nyiny ni CCM B, Zitto hawezi kumkufuru mwenzake katika Imani, Zitto ni mdini....Daaaah... ACT nao eti wanatoa mlio kwa issue hii?
View attachment 3302606
mnsaini takataka zinavunja katiba, are you serious?Daaaah... ACT nao eti wanatoa mlio kwa issue hii?
View attachment 3302606
2020 Mbowe, Lowasa, Sumaye Upendo kwaya kijitonyamaStop that, nyiny ni CCM B, Zitto hawezi kumkufuru mwenzake katika Imani, Zitto ni mdini....
Wanajibaraguza nini hawa wakati ni tawi la Ccm.Daaaah... ACT nao eti wanatoa mlio kwa issue hii?
View attachment 3302606
kuwa uwezekano ikawa taarifa #FAKE.... Ni ngumu kuongea hayo ukiwa ushasaini Hio Kesi haitakuwa na maana, kwamba Huna ELIMU YA KUSOMA MKATABA NDIO USAINI... hadi USAINI NDIO USOME... my instincts zinaniambia fake NewsDaaaah... ACT nao eti wanatoa mlio kwa issue hii?
View attachment 3302606
Kunaanza KupambazukaTaratibu kitaeleweka Tu, inavutia
Wale jamaa niliona wamevaa suti nahisi ni zili ambazo zilinunuliwa pale kariakoo za elfu 90 90Ukisikia ujuha ndio huo sasa, Ado si amesema mambo bam bam na wale wengine wafia njaa na hawana hata wanalolijuu juu ya vyama vya siasa wamekiri mambo ni muruwa, huyu nae kaibukia wapi, acheni unafiki nendeni kwenye uchaguzi mkakione cha mtema kuni
Wataachiwa majimbo kadhaa ili ionekane kulikuwa na fair play, ila ukweli kwasasa ni hatari sana kushiriki uchaguzi unaoandaliwa na tume hii.Ukisikia ujuha ndio huo sasa, Ado si amesema mambo bam bam na wale wengine wafia njaa na hawana hata wanalolijuu juu ya vyama vya siasa wamekiri mambo ni muruwa, huyu nae kaibukia wapi, acheni unafiki nendeni kwenye uchaguzi mkakione cha mtema kuni
Kwa sababu ni takwa la kisheria , kuna vyama vinakwenda kupata wabunge wa majimbo wa kupewa na ssm lkn sio kwa kushinda. Maana tunavyo vyama vya kwa ajili ya uchaguzi tu hapa tanzania. Jana ndio kuna baadhi ya vyama nimejua kwamba vina usajili wa kudumu na baada ya uchaguzi nadhani ofisi zao hufubgwa mpaka baada ya miaka mitano ndio zinafunguliwa.Wataachiwa majimbo kadhaa ili ionekane kulikuwa na fair play, ila ukweli kwasasa ni hatari sana kushiriki uchaguzi unaoandaliwa na tume hii.
Nyumbu hamjawahi kumpenda Zitto Kabwe, kila siku lazima mumsakame kwa hili au lile. Alivyo genius, Ye huwa Hana neno na nyie zaidi ya KUWAONYESHA DOLE LA KATI tu.ACT NI ZITTO AMBAYE NI CCM
Taratibu mkuu, usikimbilie kushadadia tu.....hii mitandao Ina mengi. Jana sisi wengine tuliangalia tv na msemaji wa ACT-Wazalendo hakuongea hiki ambacho mnaongea hapa. Ye alisema walishirikishwa tangu mwanzo, walipewa muda wa kutoa maoni wakatia na yalichukuliwa maoni yao na sehemu kubwa yamefanyiwa kazi ndo maana wakaenda pale kusaini. Ni tofauti kabisa na hiki. Hebu tupieni clip tuisikie kabisa mlikotoa na huyu mdada ni nani?!!Yaani unaingizwa mkenge kwanza unasaini halafu ndio unashtuka?Hiki ni chama makini kweli,Hapa ndio maana Chadema hata CCM inawaogopa maana hua hawakubali upumbavu
Nyerere aliwahi kusema "Mtu mzima akikwambia jambo la kipumbavu nawewe ukalikubali anakudharau"