Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Habari Yako kaka magical power
Naomba ushauri kidogo kama unaweza kunishauri naitwa lea nina miaka 44 nimtu mzimaðŸ˜ðŸ’”, nilikutana na mkaka mtandaoni ambaye yy ana miaka 49.
Tukawasiliana hatimae tukaonana ijumaa iliyopita kweli akanieleza mahusiano yake yaliopita na jinsi alivyomsaidia yule dada mpaka walivyoachana
Kweli tukasex usiku kucha baada ya hapo alinipa sh 2000 elf 2 tu🙊nikapokea vizur tu
Baada ya kupita siku kadhaa nikamuomba anisaidie pesa ninnue vyakula vya ndani ananiambia sawa jumnne nitakuja nikuletee sababu aliniambia yeye ni mfanyabiashara.
Basi jumanne akanichatisha tukachat akaniambia tutaonana saa kumi ilipofika saa kumi na mimi nikamuacha tu saa kumi na mbili akanichatisha akauliza uko wp nikamjibu nipo nyumbani akasema nimechelewa kurudi ndio natoka bagamoyo nikamjibu sawa.
Kesho yake akanichatisha hakuongelea juu ya pesa niliyoomba jana akanichatisha kunisalimia nikamjibu kwetu huku njaa ukizingatia tumesimama hatufanyi kazi kkoo akasema sawa ntakutumia elf tano nikasema mungu akubaliki ilipofika jioni kanichtisha akasema mvua inanyesha sana so hakutuma hiyo elf tano.
Leo kanisalimia anasema kitovu kinamuuma je haya mahusiano ni sahihi kwangu?
Naomba msaada wako kujuaðŸ˜