Kushinda njaa sio vizuri, unaweza ukajiletea shida nyingine kama vidonda vya tumbo.
Unachotakiwa ni kuacha kula vyakula vyote vya wanga na sukari. Hata matunda, chagua yake yenye sukari kidogo kama parachichi na matango, punguza matikiti na nanasi.
Kula zaidi vyakula vya protini kama nyama, samaki, maziwa, mayai, nk.
Mboga za majani hazina shida, hizo kula kwa wingi.
Achana na vinjwaji vyote vyenye kilevi na vinywaji baridi kama soda na juice.
Achana na vyakula vilivyopita viwandani, kama nyama za makopo. Kula vitu vya asili kabisa.