Then kunywa maji muhimu sana.Ahsante ila mimi mtindi naweka asali tu.
Mbona wengi wanasema red meat ni hatari sanaKushinda njaa sio vizuri, unaweza ukajiletea shida nyingine kama vidonda vya tumbo.
Unachotakiwa ni kuacha kula vyakula vyote vya wanga na sukari. Hata matunda, chagua yake yenye sukari kidogo kama parachichi na matango, punguza matikiti na nanasi.
Kula zaidi vyakula vya protini kama nyama, samaki, maziwa, mayai, nk.
Mboga za majani hazina shida, hizo kula kwa wingi.
Achana na vinjwaji vyote vyenye kilevi na vinywaji baridi kama soda na juice.
Achana na vyakula vilivyopita viwandani, kama nyama za makopo. Kula vitu vya asili kabisa.
Duu hapo kwenye kitungi sasa!!Kushinda njaa sio vizuri, unaweza ukajiletea shida nyingine kama vidonda vya tumbo.
Unachotakiwa ni kuacha kula vyakula vyote vya wanga na sukari. Hata matunda, chagua yake yenye sukari kidogo kama parachichi na matango, punguza matikiti na nanasi.
Kula zaidi vyakula vya protini kama nyama, samaki, maziwa, mayai, nk.
Mboga za majani hazina shida, hizo kula kwa wingi.
Achana na vinjwaji vyote vyenye kilevi na vinywaji baridi kama soda na juice.
Achana na vyakula vilivyopita viwandani, kama nyama za makopo. Kula vitu vya asili kabisa.
Akili ndio haihitwji nguvu?Sina physical work, zote ni za akili sina muda wa kutembea kwa mguu, ni gari tu.
Nyama sio hatari kama wanga. Nyama hainenepeshi mtu kama wanga.Mbona wengi wanasema red meat ni hatari sana
Nyama isiyo na mafuta haina shida.Mbona wengi wanasema red meat ni hatari sana
Gimbi halina wanga kama wali au ugali, ila red meat naigopa sana.Nyama isiyo na mafuta haina shida.
Usitumie nguvu kubwa sana kuharakisha kilo zako zitoke kwa haraka, ukitumia nguvu kubwa na kilo zikaondoka kwa haraka utapata changamoto mbeleni.
Kilo zitakata kwa haraka Ila ukirudi kwenye ulaji wako, kilo zitapanda kwa kasi maana najua huo utaratibu huwezi kuendelea nao ukifikisha target.
Kwaivyo maintain,kula kwa kiasi.Gimbi ni wanga kama ugali,viazi,ndizi,mihogo au wali.
Punguza ulaji wa wanga,kula kwa wingi vyakula vya protein kama mzungumzaji hapo alipomzungumza.