Baada ya kushindwa kuifunga Man utd, Southampton yamtimua kocha Mark Hughes

Baada ya kushindwa kuifunga Man utd, Southampton yamtimua kocha Mark Hughes

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Baada ya kushindwa kuifunga man utd jumamosi iliyopita klabu ya Southampton yamtimua kocha wake Mark Hughes
Screenshot_20181203-133809~2.jpeg
 

Attachments

  • Screenshot_20181203-133809~2.jpeg
    Screenshot_20181203-133809~2.jpeg
    70.6 KB · Views: 25
Mi nataka kujua morinyo yeye kapona vipi kufukuzwa?
 
Huyo kocha angepewa muda zaidi japo wenzetu wanaangalia mambo mengi na wanaenda na mikataba tu siyo maneno.
 
Back
Top Bottom