Baada ya kushindwa kulipa bilion 9, Cyprian Msiba aombewa

Baada ya kushindwa kulipa bilion 9, Cyprian Msiba aombewa

Naweka akiba ya Maneno leo hii Jumaa siku ya 12 ya mwezi wa Ngo'mbe(Bulls) 2023 Anno Domini Kwamba: Nilibandika maneno kwenye bandiko langu #6 baada ya kusoma mada hii na nyingine na kutafuta mwongozo wa kujibu maudhui yake. Jamani tusichezee na kudhihaki himaya.

Nilipitia Kitabu kikuu kama Kawaida yangu Asubuhi au Baada ya Dhoruba za kiroho, Niliona haya moja kwa moja
"I will say it again: The lord your God is not giving you this good land because you are righteous, for you are not-you are a stubborn people" DEUTRONOMY 9:6.
Haikuleta maana yeyote ile asubuhi ya leo kwani ilikuwa ikizungumzia wana wa Israeli na nilijisemea tu 'ah' kama ni maneno ya mungu basi yanahusu madhehebu yote. Nilisita kwanza, kwani niliona kana vile namkwaza muumba. Nikaperuzi nyuma nikakutana na DEUTRONOMY 4:9.....Hizi sehemu mbili ndizo zilizonipa jeuri ya kusema niliyoyaandika katika bandika langu #6 huko juu.

Hakika, niliendelea na shughuli zangu mpaka pale nilipoona Breaking News ya Tanzia ya Bernard Membe!

!Nilistuka, na nilipatwa na ganzi ya muda, kwa kutokuamini yaliyojiri....kwanza, Kuhusu Uzi huu na maneno ya watu, pamoja na maombi yaliyokuwa yakifanyika(hakika sikuwa najua kwa uhakika kama ni kweli kuhusu maombi) na ndio ilikuwa kati ya sababu zangu kuu kutafuta maneno ya ushuhuda wa kiroho(mwongozo) kuhusu jambo hili. Manake nilitafuta kwa maneno ya how to be humble na baadae laws of gravity ndipo nilipopata hiyo mistari ya DEUTRONOMY.

Indeed it is a Humbling experience, Indeed a Spiritual laws of Gravity.

Tuwe tunatafuta amani wakati wote. Tuwe waangalifu na maneno tunayotumia, yaani tuchunge ndimi zetu pale yakija masuala mazito ya Kibinadamu. We are not perfect.

Nilinena
R.I.P Bernard Membe.

Jambo la Kawaida na la Kibanaadamu. Wachawi(Haters) wamezidi!
 
Back
Top Bottom