Baada ya kushindwa kuonekana hata kwenye arobaini ya mumewe, chawa wake waposti picha kumuonesha Samia eti akimpokea balozi wa Kuwait!

Baada ya kushindwa kuonekana hata kwenye arobaini ya mumewe, chawa wake waposti picha kumuonesha Samia eti akimpokea balozi wa Kuwait!

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
HUg8IN9XIAE5J8B.jpg

HUg8IRwXgAAn6J6.jpg

HUg8IN1XYAAUGsw.jpg

Hizi picha utazikuta kwenye page za Instagram, X, TikTok na social media zingine za chawa maarufu wa Albert Bashite Malyangili a.k.a Paul Makonda na CCM anayeitwa Maulid Kitenge..

Swali la kujiuliza:

Hivi inawezekana vipi mwanamke huyu kujitwalia madaraka ya Urais kwa mtutu wa bunduki atoe kipaumbele kumpokea balozi badala ya kwenda kwenye hitma ya msiba (arobaini) ya mumewe hapo juzi..?

Hawa Chawa wanadhani sisi ni wajinga wa kiwango chao, au siyo?

They're really very stupid and foolish...
 
Nimesikia Makonda anafanya ziara ya ukaguzi wa Maji na Barabara mkoani Mwanza kwa niaba ya Rais.

Hii ni evidence kuwa Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu, kila kinyozi anajifunzia kunyoa.

Acha tusubiri, mawimbi ya bahari yakitulia tutajua nani alikuwa anaogelea akiwa Uchi.
 
Ni mlezi wa mkoa wa mwanza
 
Sipendi tabia za wanaharakati kulishwa matango pori na wao wakayashadahia ,hao WAHUNI wanafanya kusudi kuwaondoa kwenye focus na ndiyo maana ukaona BASHITE anaACT kama waziri mkuu ,na hiyo ya kutohudhuria 40 yote ni usanii ,kwani akihudhuria mnaweza kujua? Si anaweza akatoa tuu taarifa amemtuma mwakilishi lakini akawa yupo na yeye anashiriki.

MSitolewe kwenye FOCUS ,Samuya mzima wa Afya ,mtu Juzi juzi tu kaenda Zimbabwe kwa BONGE halafu baada ya siku mbili mnalishwa MATANGO PORI kama kadata!!
 
  • Thanks
Reactions: naa
Back
Top Bottom