Baada ya kushindwa kwa hoja na Lissu, CCM yahamia kwenye propaganda mfu wakidhani Tanzania ya leo ni ya mwaka 1990

Kufanya uchaguzi kwa kutumia utaratibu wa Sasa ni sawa sawa na kuwaambia CCM waendelee kujitungia mtihani na kujisahihishia wenyewe na kujitangazia matokeo wenyewe au ni sawa sawa na kocha wa Yanga awe ndio refa, mshika kibendera na kamisaa wa mchezo kati ya Simba vs Yanga
 
CHADEMA IMEKOSA HOJA KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…