Baada ya Kusikia Mgeni Rasmi kwa Washindi wa Majukwaa JamiiForums ni Rais wa Marekani Joe Biden naomba mniazime Suti nivae

Siku ya kupewa hiyo tuzo, akili yangu yote nitaielekeza kwa mwana jamii forums mmoja tu ambaye atakuwa hana sikio moja, na pia kidole kimoja cha mkononi! Unamchezea muuza mihogo wewe!!

Au nikiona mwanajamii forums mmoja amevaa kofia kubwa inayoficha masikio, halafu amevaa gloves, halafu anajificha ficha nyuma ya wenzake, nitajua tu huyo ndiyo yule kijana Popoma aliyeingia kwenye 18 za Bwana Cherehani kule Kawe.
 
Siku ya kupewa hiyo tuzo, akili yangu yote nitaielekeza kwa mwana jamii forums mmoja tu ambaye atakuwa hana sikio moja, na pia kidole kimoja cha mkononi! Unamchezea muuza mihogo wewe!!
Aaahaa , hii ni hatari aisee
 
Siku ya kupewa hiyo tuzo, akili yangu yote nitaielekeza kwa mwana jamii forums mmoja tu ambaye atakuwa hana sikio moja, na pia kidole kimoja cha mkononi! Unamchezea muuza mihogo wewe!!
Huyu Cherehani mtu mbadi sana, siku hizi hakuna tena zile tambo za kubanduwa wake za watu.πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi unajua kuwa umenichekesha mno?
 
Uje tukaazime kwa alfredo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…