Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Siku ya kupewa hiyo tuzo, akili yangu yote nitaielekeza kwa mwana jamii forums mmoja tu ambaye atakuwa hana sikio moja, na pia kidole kimoja cha mkononi! Unamchezea muuza mihogo wewe!!vibertz, Tate Mkuu, Isanga family na OKW BOBAN SUNZU nasikia mna Suti Kali sana naomba Mmoja wenu aniazime ili nivae Siku ya Kupokea Tuzo yangu ya Ushindi Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums.
Tafadhali nawaombeni mnisaidie kwani Nitaumbuka kwa kutokuvalia Suti Kali mbele ya Rais wa Dunia na Marekani Joe Biden na Kuvalia tu hii Minyalonyalo yangu ya Kutukuka.
Atakayenipa ( Atakayeniazima ) Suti yake Kali kwa hawa niliowataja hapa nitampa USD 300 kati ya USD 5000 ambazo Rais wa Marekani Joe Biden ameahidi kutoa kwa Washindi wa Majukwaa ya JamiiForums kwa mwaka huu wa 2022.
Sijui itakuwaje Siku hiyo GENTAMYCINE nikiwa napiga Picha na Rais wa Marekani Joe Biden huku Walinzi wake wakiwa Wametuzunguka.
Kushinda ni Raha sana na hasa Ukishinda katika Mtandao mkubwa na wenye Great Thinkers wote wa JamiiForums.
Mwaka ujao 2023 nawaombeni pia na nyie akina vibertz, Tate Mkuu, Isanga family na OKW BOBAN SUNZU nanyi Mgombee au Mjumuishwe katika Shindano kwani nawaona kabisa kuwa mtaenda Kushinda na hata nami pia nikiwepo bado nawaona mtashinda na Kunishinda GENTAMYCINE.
Kazi ipo......!!!!!!
Au nikiona mwanajamii forums mmoja amevaa kofia kubwa inayoficha masikio, halafu amevaa gloves, halafu anajificha ficha nyuma ya wenzake, nitajua tu huyo ndiyo yule kijana Popoma aliyeingia kwenye 18 za Bwana Cherehani kule Kawe.