Kulificha penzi ni sawa kulificha kaa la moto kiganjani....kadri unavyojitahidi kulizuia ndio unavyozidi kuungua........
Mapenzi hayana unafiki kwa kuwa yanakuja yenyewe na kuondoka yenyewe automatically.......
Mapenzi hayana kipimo wala makadirio.....kama mtu humpendi ni humpendi tu.....kama mtu unampenda ni unampenda tu..........
Wacha kuikaraisha katika dunia hii iliyojaa vilio, mateso,chuki na husda kila mahala......kama unampenda mpokee kama humpendi achana naye.....it's so simple........
NB;
Kumpenda mtu ni jambo la kwanza na kuishi na umpendaye ni jambo la pili.....