Baada ya kusimamishwa Mapigano Magaidi wa Hezboulah na wafuasi wao wafanya Sherehe!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Magaidi wa Hezbollah na wafuasi wao wanasherehekea kote Lebanon kuanza kwa usitishaji vita wanazodai kuwa walishinda na kuanza kwa watu waliokimbia makazi yao kurejea katika maeneo yao - huko Dahieh, Beirut na kusini mwa Lebanon.

Vizuizi vya zege kutoka kwa viingilio vya vitongoji vya kusini mwa Beirut vinaondolewa.

Kuna msongamano mkubwa wa magari unaoelekea kusini kutokana na wakazi wa kusini mwa Lebanon wanaotaka kurejea nyumbani.

Wakati huo huo Msemaji wa IDF kwa lugha ya Kiarabu alitoa taarifa akiwaonya wakazi wa kusini mwa Lebanon, hasa kusini mwa mto Litani, dhidi ya kurejea majumbani mwao, kwani jeshi bado linaendesha operesheni huko dhidi ya magaidi wa Hezbollah hasa hasa huko Bint Jbeil ambako nagaidi zaidi ya 100 walizingirwa na kuangamizwa bila huruma!!
 
Attachments

  • VID_20260417_072017_762.mp4
    772.5 KB
  • VID_20260417_072017_778.mp4
    2.9 MB
  • 1776399585944.mp4
    772.5 KB
  • VID_20260417_071906_388.mp4
    1,023.2 KB
  • VID_20260417_072855_630.mp4
    7.3 MB
  • IMG_20260417_072855_987.jpg
    IMG_20260417_072855_987.jpg
    114.7 KB · Views: 24
ISRAEL kachapika Vibaya wananchi uko Israel ndio wanajua Ukweli ndiomana wamenuna!!!!!

Wakati wa Lebanon wanaselebuka mitaani kwa Ushindi wao!!

Tena. Hezbollah haikutaka Ceasefire yoyote na MAGAIDI ya IDF!!

lkn Ndio ivyo Serikali ya Lebanon imepewa na mipesa watangaze kusitisha Vita na Magaidi ya Kimataifa Marekani na toto lake,

Lkn VITA ndio tumaini kuu kwasasa bado ipo MOTO upo pale pale 💥💥💥💥 kushoto unakutana na Hezbollah kulia Houthi pembeni Hamas ktkt Iranian🤠🤠🤠🤠

haaa chaguo la Mashoga ni kukimbia middle east hakuna zaidi!!
 
Utoto shida sana
 
Lebanon kusini yote iko mikononi mwa Israel harafu Bumunda kama wewe unasherehekea eti umeshinda!!! Ujinga na utoto unawasumbua!!
 
Ipo. Siku Israel watajua kwann waliambiwa Waje Africa na sio Middle East pale Middle East ndio kwenye kitomvi cha Vita asili ya Vita vimeanzia Pale!!!

kwaiyo kiburi cha Waisrael leo kinawaacha kwenye mikanganyiko hisio isha !!!

watapalekwa kivita vita hakuna kupoaa kiasi Waisrael wenye kufikiria kesho yao wanakimbia mdogo mdogo mana Tumaini la Amani kwao halipo zaidi ya kuzika watoto wao kila siku!!

Na ndio kwanza Asubui kwa makundi yakutetea Ardhi zao!!!

Kufa kwa Viongozi wa makundi yote bado hakujawa na faida yoyote kwa Amani ya Israel!!!

lkn kinachokatisha Tamaa ni Ukweli makundi yote yani Hamas Houthi Hezbollah bado yanamiliki Silaha kufikia sasa Apr 17 /2026.

Kwanini usiogope hata ingekuwa wewe✍️
 
Israel iko vitani toka mwanzo na haijawahi shindwa vita hata siku moja!!!
 
Lebanon kusini yote iko mikononi mwa Israel harafu Bumunda kama wewe unasherehekea eti umeshinda!!! Ujinga na utoto unawasumbua!!
Ipo chini ya Israel kivipi wewe ndio Bumunda hakuna askari yoyote ayo maeneo zaidi Israel inadai kuyalinda kupitia Anga!!!

sio Wanajeshi wa Ardhini wamaeenda kuyatwaa ayo maeneo Kijeshi hakuna icho kitu Waisrael wachovu tu

sasa kama ni Anga kuweka alama na kutegemea Anga!!!

Israel imamiliki Lebanon yote na Palestine yote mana wao ndio wenye Jeshi la Anga eneo ilo

lete picha Bumunda wewe tuone wanajeshi wa Israel wapo ayo maeneo mopya wanaobwabwaja IDF Kipropaganda kuficha Aibu yao.??
 
Israel iko vitani toka mwanzo na haijawahi shindwa vita hata siku moja!!!
Lkn Wanajeshi wao bado wanakufa kupitia Vita na raia wao wanaendelea kufa kupitia Vita unasemaje apo miji yao inateketezwa kupitia Vita??
 
Mifano yoyote ni sawa ukidai Israel hajawai kushindwa Vita ni sawa!!

lkn upande wa pili napo hawajawai kuweka Silaha chini kwamaana nyingine hawajawai kushindwa.!!!

Ndiomana Ceasefire inatangazwa lkn Makundi yote mikononi mwao Wanamiliki Silaha Zao!!

Kushindwa ni kuweka Silaha chini✍️
 
Lkn Wanajeshi wao bado wanakufa kupitia Vita na raia wao wanaendelea kufa kupitia Vita unasemaje apo miji yao inateketezwa kupitia Vita??
Huwezi kulinganisha na wanavyopukutika IRGC,HEZBOULAH na walivuopukutika Magaidi wa HAMAS!!!
 
Back
Top Bottom