Utoto shida sanaISRAEL kachapika Vibaya wananchi uko Israel ndio wanajua Ukweli ndiomana wamenuna!!!!!
Wakati wa Lebanon wanaselebuka mitaani kwa Ushindi wao!!
Tena. Hezbollah haikutaka Ceasefire yoyote na MAGAIDI ya IDF!!
lkn Ndio ivyo Serikali ya Lebanon imepewa na mipesa watangaze kusitisha Vita na Magaidi ya Kimataifa Marekani na toto lake,
Lkn VITA ndio tumaini kuu kwasasa bado ipo MOTO upo pale pale 💥💥💥💥 kushoto unakutana na Hezbollah kulia Houthi pembeni Hamas ktkt Iranian🤠🤠🤠🤠
haaa chaguo la Mashoga ni kukimbia middle east hakuna zaidi!!
Lebanon kusini yote iko mikononi mwa Israel harafu Bumunda kama wewe unasherehekea eti umeshinda!!! Ujinga na utoto unawasumbua!!ISRAEL kachapika Vibaya wananchi uko Israel ndio wanajua Ukweli ndiomana wamenuna!!!!!
Wakati wa Lebanon wanaselebuka mitaani kwa Ushindi wao!!
Tena. Hezbollah haikutaka Ceasefire yoyote na MAGAIDI ya IDF!!
lkn Ndio ivyo Serikali ya Lebanon imepewa na mipesa watangaze kusitisha Vita na Magaidi ya Kimataifa Marekani na toto lake,
Lkn VITA ndio tumaini kuu kwasasa bado ipo MOTO upo pale pale 💥💥💥💥 kushoto unakutana na Hezbollah kulia Houthi pembeni Hamas ktkt Iranian🤠🤠🤠🤠
haaa chaguo la Mashoga ni kukimbia middle east hakuna zaidi!!
Israel iko vitani toka mwanzo na haijawahi shindwa vita hata siku moja!!!Ipo. Siku Israel watajua kwann waliambiwa Waje Africa na sio Middle East pale Middle East ndio kwenye kitomvi cha Vita asili ya Vita vimeanzia Pale!!!
kwaiyo kiburi cha Waisrael leo kinawaacha kwenye mikanganyiko hisio isha !!!
watapalekwa kivita vita hakuna kupoaa kiasi Waisrael wenye kufikiria kesho yao wanakimbia mdogo mdogo mana Tumaini la Amani kwao halipo zaidi ya kuzika watoto wao kila siku!!
Na ndio kwanza Asubui kwa makundi yakutetea Ardhi zao!!!
Kufa kwa Viongozi wa makundi yote bado hakujawa na faida yoyote kwa Amani ya Israel!!!
lkn kinachokatisha Tamaa ni Ukweli makundi yote yani Hamas Houthi Hezbollah bado yanamiliki Silaha kufikia sasa Apr 17 /2026.
Kwanini usiogope hata ingekuwa wewe✍️
Ipo chini ya Israel kivipi wewe ndio Bumunda hakuna askari yoyote ayo maeneo zaidi Israel inadai kuyalinda kupitia Anga!!!Lebanon kusini yote iko mikononi mwa Israel harafu Bumunda kama wewe unasherehekea eti umeshinda!!! Ujinga na utoto unawasumbua!!
Lkn Wanajeshi wao bado wanakufa kupitia Vita na raia wao wanaendelea kufa kupitia Vita unasemaje apo miji yao inateketezwa kupitia Vita??Israel iko vitani toka mwanzo na haijawahi shindwa vita hata siku moja!!!
Huwezi kulinganisha na wanavyopukutika IRGC,HEZBOULAH na walivuopukutika Magaidi wa HAMAS!!!Lkn Wanajeshi wao bado wanakufa kupitia Vita na raia wao wanaendelea kufa kupitia Vita unasemaje apo miji yao inateketezwa kupitia Vita??
Ni zaidi ya utoto, wanaambiwa wasome elimu ya maana inayoweza kuwafanya wapanuke kifikra lakini wenyewe wakishafika madrasa wanaona wamemaliza.😰😰😰😰Utoto shida sana