kilio Senior Member Joined Jan 24, 2014 Posts 100 Reaction score 127 Oct 19, 2026 #1 Kitendo cha kusubiri NSSF kwa mda wa zaidi ya miezi mitano , unaweza kuingia kwenye mikopo humiza kwasababu ya njaa nililiyopitia. Tuwaheshimu wastaafu wanapitia mengi wakati wa kusubiri hayo mafao mpaka kuyapata. Wastaafu wanateseka sana..
Kitendo cha kusubiri NSSF kwa mda wa zaidi ya miezi mitano , unaweza kuingia kwenye mikopo humiza kwasababu ya njaa nililiyopitia. Tuwaheshimu wastaafu wanapitia mengi wakati wa kusubiri hayo mafao mpaka kuyapata. Wastaafu wanateseka sana..