Baada ya Kutabiriwa kufeli kimaisha kwa Kujitoa WCB ,KIFESI atangaza Ujio wa Kampuni Yake mpya

papillontanzania

New Member
Joined
Feb 25, 2019
Posts
1
Reaction score
2
Aliekuwa mpiga picha mkuu wa Diamond kwa zaidi ya miaka 5 na baadae kutangaza kuacha kazi kwa staa huyo mkubwa wa Bongo Fleva (wengi wanadai alifukuzwa kwa kumshauri boss wake kuhusu zari)Hatimae ametangaza ujio wa Kampuni yake Mwenyewe ikiwa ni mwaka mmoja mmoja Tangu ajitoe WCB ,kupitia page yake ya instagram @Kifesi alianza kwa kufuta picha zake zote na kisha akapost nyaraka za usajili wa kampuni yake pamoja na nyaraka zingine za serikali kuonesha kuwa kampuni yake iko kihalali siyo magumashi na kisha akapost video akiwa ofisini kwake akifungua vifaa vipya vya kisasa vya production.Kwa mjibu wa Nyaraka za leseni alizopost inaonyesha ni kampuni ya upigaji picha/video na Entertainment


KIFESI OFISINI

Mapema mwaka jana Kifesi alifanya maamzi magumu ya kujitoa WCB ambako ni ndoto ya kila kijana kuwa pale kwa madai kuwa anahitaji ajiajiri na kujitemea mwenyewe na pia alidai yeye kama mkristo roho yake imekuwa inamsuta kuwa pale anahitaji apate fursa ya kuwa karibu na Mungu wake.
wengi walimtabiria kuja kupotea na kufeli kimaisha kama mwenzake Qboy.

wengine waliojitoa WCB ni Mzambele,Mavoko na mwarabu Bodyguard wa mda mrefu wa Diamond.
Kumekuwa na madai ya chini chini kuwa kuna unyonyaji na masirahi madogo kwa wafanyakazi wa WCB
ndiyo sababu ya wengi kujitoa.





ReplyForward
 

Attachments

Safi hata Lukamba nae anatakiwa ajifunze kupitia Kifesi kwani haina haja ya kuajiliwa wakati tayari una experience plus exposure na umaarufu ulioupata kupitia Diamond Platnumz,vinatosha kufungua kampuni.
 
Nikimuangalia kifesi,qboy msafi napata muonekano wa watu flani wajinga wajinga sana.

Inawezekanaje uwe na maisha mazuri kwa sababu ya kumpenda mtu furani basi akushike bila kumwaga jasho??hiyo haipo.

Hiki alichokifanya alitakiwa awe amekifanya muda sana,yule mwingine eti mpaka analia[emoji23][emoji23][emoji23].aisee.
 
Write your reply...safi kifesi. komaa mzee wachawi wengi
 
Reactions: THT
Kama bado anafanya kwa sababu ya kutaka kuprove kwa watu kwamba kutoka kwake kule hakujaathiri kitu, ajiangalie.

Anatakiwa kufocus kwenye mambo yake, achukulie kama ile ni ndoa ambayo haikuwork out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…