papillontanzania
New Member
- Feb 25, 2019
- 1
- 2
Aliekuwa mpiga picha mkuu wa Diamond kwa zaidi ya miaka 5 na baadae kutangaza kuacha kazi kwa staa huyo mkubwa wa Bongo Fleva (wengi wanadai alifukuzwa kwa kumshauri boss wake kuhusu zari)Hatimae ametangaza ujio wa Kampuni yake Mwenyewe ikiwa ni mwaka mmoja mmoja Tangu ajitoe WCB ,kupitia page yake ya instagram @Kifesi alianza kwa kufuta picha zake zote na kisha akapost nyaraka za usajili wa kampuni yake pamoja na nyaraka zingine za serikali kuonesha kuwa kampuni yake iko kihalali siyo magumashi na kisha akapost video akiwa ofisini kwake akifungua vifaa vipya vya kisasa vya production.Kwa mjibu wa Nyaraka za leseni alizopost inaonyesha ni kampuni ya upigaji picha/video na Entertainment
KIFESI OFISINI
Mapema mwaka jana Kifesi alifanya maamzi magumu ya kujitoa WCB ambako ni ndoto ya kila kijana kuwa pale kwa madai kuwa anahitaji ajiajiri na kujitemea mwenyewe na pia alidai yeye kama mkristo roho yake imekuwa inamsuta kuwa pale anahitaji apate fursa ya kuwa karibu na Mungu wake.
wengi walimtabiria kuja kupotea na kufeli kimaisha kama mwenzake Qboy.
wengine waliojitoa WCB ni Mzambele,Mavoko na mwarabu Bodyguard wa mda mrefu wa Diamond.
Kumekuwa na madai ya chini chini kuwa kuna unyonyaji na masirahi madogo kwa wafanyakazi wa WCB
ndiyo sababu ya wengi kujitoa.
ReplyForward