Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaa comrade Kibanga, huu upumbavu sijui utaisha liniNi upunguani wa Hali ya juu kushabikia timu za waswahili mtu umetoka zako huko mkoa unaacha kushabikia chama la nyumbani unaangaika na timu za kariakoo huo ni upumbavu wa Hali ya juu
Kabisa mkuu, wengi wanashabikia timu ambazo hata hawajui kwa nini wanazishabikia. Maeneo ambako soka limeendelea timu zinapata mashabiki wengi kutoka nyumbani kwao, ndo maana sioni tatizo kabisakwanza umechelewa sana kugundua kuwa ulikuwa unafanya upumbavu kushabikia timu isiyo kuhusu. Mimi ni wa Mwanza, timu zangu nazoshabikia ni Mbao na Toto, zikishuka daraja nitashabikia Tim za Shinyanga na Kagera. Huwa sitakagi upumbavu
Kabisa mkuu hata watoto wangu lazima niwapandikize roho ya kupenda vya nyumbani kwao kwanza. Jipende kwanza maana hakuna wa kukupenda kama unavyoweza kujipendaNi upunguani wa Hali ya juu kushabikia timu za waswahili mtu umetoka zako huko mkoa unaacha kushabikia chama la nyumbani unaangaika na timu za kariakoo huo ni upumbavu wa Hali ya juu