Baada ya kutafakari sana nimeamua kuihama Simba na kwenda Kagera sugar

Wewe tutolee upumbavu hapa, mtu unaweza ukahama dini lakini sio timu ya kushabikia, hii haiwezi tokea kamwe labda kama wewe ni shabiki maandazi
 
Ni upunguani wa Hali ya juu kushabikia timu za waswahili mtu umetoka zako huko mkoa unaacha kushabikia chama la nyumbani unaangaika na timu za kariakoo huo ni upumbavu wa Hali ya juu
 
Ni upunguani wa Hali ya juu kushabikia timu za waswahili mtu umetoka zako huko mkoa unaacha kushabikia chama la nyumbani unaangaika na timu za kariakoo huo ni upumbavu wa Hali ya juu
Haswaa comrade Kibanga, huu upumbavu sijui utaisha lini
 
kwanza umechelewa sana kugundua kuwa ulikuwa unafanya upumbavu kushabikia timu isiyo kuhusu. Mimi ni wa Mwanza, timu zangu nazoshabikia ni Mbao na Toto, zikishuka daraja nitashabikia Tim za Shinyanga na Kagera. Huwa sitakagi upumbavu
Kabisa mkuu, wengi wanashabikia timu ambazo hata hawajui kwa nini wanazishabikia. Maeneo ambako soka limeendelea timu zinapata mashabiki wengi kutoka nyumbani kwao, ndo maana sioni tatizo kabisa
 
Ni upunguani wa Hali ya juu kushabikia timu za waswahili mtu umetoka zako huko mkoa unaacha kushabikia chama la nyumbani unaangaika na timu za kariakoo huo ni upumbavu wa Hali ya juu
Kabisa mkuu hata watoto wangu lazima niwapandikize roho ya kupenda vya nyumbani kwao kwanza. Jipende kwanza maana hakuna wa kukupenda kama unavyoweza kujipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…