Baada ya kutafakari sana nimegundua haya kuhusu ulokole

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Kila siku najiuliza kuwa hawa wanaojiita walokole huwa wanamaanisha kweli au la?

Ukweli ni kwamba hakuna mwenya akili timamu anaweza kuwa mlokole ndo mana haiwezekani rais aje kutokea huko. Always atakuw ama muislam au mkatoliki.

Kiukweli ni kwamba makanisa ya hawa jamaa wanaojiita walokole ni platform ya walenye stress kwenda kulia na kugalagala matatizo huwa hayasoviwi hivyo.

Angalia wanaoenda kwa mwanposa ni akina dudu baya, akina gigi money nk ambao wakitoka hapo ni uzinzi, bangi kwa kwenda mbele.

Hivi kweli kuna mwenye akili timamu anaweza kwenda kwa masanja wakati anajua kichwani hamna kitu au kakobe au kuhani musa au katunzi.

Fatilia utaona wanaoenda huko ni ama stress au ni zero braiins

Hata kkkt ni maslahi binafsi tu padre luther lakini lile siyo kanisa ndo mana ni migogoro mwanzo mwisho.

Mwisho kabisa karibuni leo ni sikuku ya utatu mtakatifu.

Mama maria................mama wa wote.

Glory be to the father and to the son and to the holy spirit.........as it was in the begining is now and ever shall be world without end..Amen
 
Mtu anakaa chini anamuomba Maria amuombee kwa Mungu anatofauti gani na anayeenda kwa Kakobe?
Au anayemuelezea matatizo yake padre wakati hayo matatizo anaweza kumuelezea Mungu moja kwa moja.

Na mwisho hakuna kilicho kikamilifu hapa duniani.
 
We jamaa una kitu kinaitwa religion opium

Dini ni dini na serikali ni serikali

Ingawa seldom tunaona dini ni kama serikali tu

Viongozi ni mawakala tu wanaopewa kuendesha au taasisi za kidini au za kiserikali kwa muda fulani

Wala sio lazima awe msafi au mkamilifu kama unavyodhani wewe

Ukamilifu wetu unatoka kwa Kristo
 
Mtu anakaa chini anamuomba Maria amuombee kwa Mungu anatofauti gani na anayeenda kwa Kakobe?
Au anayemuelezea matatizo yake padre wakati hayo matatizo anaweza kumuelezea Mungu moja kwa moja.

Na mwisho hakuna kilicho kikamilifu hapa duniani.
Mungu aliwaambia mapadre/mitume kuwa wowote mtakaowaondolea dhambi wameondolewa na wowote mtakaowafungia dhambi wamefungiwa. Hivyo kanisa haliendi nchi ya maandiko
 
Kila siku najiuliza kuwa hawa wanaojiita walokole huwa wanamaanisha kweli au la?

Ukweli ni kwamba hakuna mwenya akili timamu anaweza kuwa mlokole ndo mana haiwezekani rais aje kutokea huko. Always atakuw ama muislam au mkatoliki.

Kiukweli ni kwamba makanisa ya hawa jamaa wanaojiita walokole ni platform ya walenye stress kwenda kulia na kugalagala matatizo huwa hayasoviwi hivyo.

Angalia wanaoenda kwa mwanposa ni akina dudu baya, akina gigi money nk ambao wakitoka hapo ni uzinzi, bangi kwa kwenda mbele.

Hivi kweli kuna mwenye akili timamu anaweza kwenda kwa masanja wakati anajua kichwani hamna kitu au kakobe au kuhani musa au katunzi.

Fatilia utaona wanaoenda huko ni ama stress au ni zero braiins

Hata kkkt ni maslahi binafsi tu padre luther lakini lile siyo kanisa ndo mana ni migogoro mwanzo mwisho.

Mwisho kabisa karibuni leo ni sikuku ya utatu mtakatifu.

Mama maria................mama wa wote.

Glory be to the father and to the son and to the holy spirit.........as it was in the begining is now and ever shall be world without end..Amen
Waache wamuabudu Mungu wao
 
Mkuu acha vita ya kiimani. Mkatoliki baki na imani yako,mlokole abaki na yake kwa sababu hutaambatana naye mbinguni.
Tukianza hivyo, tutataka majibu ya kumfanya Maria kuwa mungu wenu, kuabudu masanamu na sasa ush
Maria siyo mungu. Wala hakuna aliyemfanya kuwa mungu. Shuld yako ni tatizo tu
 
Ajaye ni Mlawi ,aliyeokoka, mwana wa Mungu!!

Tusubiri.
 
Mungu aliwaambia mapadre/mitume kuwa wowote mtakaowaondolea dhambi wameondolewa na wowote mtakaowafungia dhambi wamefungiwa. Hivyo kanisa haliendi nchi ya maandiko
Aliwambia wapi? YESU ndie njia kweli na uzima..
 
Back
Top Bottom