Baada ya kutangazwa balozi wa utalii, Bongo Zozo abatizwa jina la kisukuma

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,207
Reaction score
17,674
Kufuatia uchapa kazi wa Bongozozo hatimae leo bungeni amebatizwa jina la kisukuma ambalo ni Masanja ili kuenda kasi ya uchapakazi na uzalendo wa wasukuma nchini Tanzania.

Huwezi kuona msukuma akiwa na tamaa za ajabu ajabu za kuhongwa na na wazungu na kusaliti nchi yako kama wale jamaa wa makabila yaleee

1580897331730.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mzungu alianzia kutafuta kiki Zimbabwe. Zimbambwe sio watu wa mitandao na hawana shobo na wazungu. Kiki imetiki Tanzania. Kapata alichokuwa anatafuta. Sasa hivi anakula tu pesa za YouTube maana watanzania mmemfollow na mnaangalia video zake. Recognation nayo kapata. Tanzania mnashobokea sana wageni. Kama mzalendo Kweli mwambieni aachie passport ya UK na kuchukua ya Tanzania.
 
Wabongo Tunapenda na kuipa chati mambo ya kijingjinga
From mkuu wa mkoa wangu makonda

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mzungu alianzia kutafuta kiki Zimbabwe. Zimbambwe sio watu wa mitandao na hawana shobo na wazungu. Kiki imetiki Tanzania. Kapata alichokuwa anatafuta. Sasa hivi anakula tu pesa za YouTube maana watanzania mmemfollow na mnaangalia video zake. Recognation nayo kapata. Tanzania mnashobokea sana wageni. Kama mzalendo Kweli mwambieni aachie passport ya UK na kuchukua ya Tanzania.
Akiacha passport ya UK na kuchukua ya Tanzania ww itakusaidia nn!?
Ishi maisha yako, pambana kwa style yako. Usimuonee wivu binadamu mwenzako.

Jiulize kwa nini Wazimbabwe hawajamshobokea wakati kipindi cha CAN aliwashangilia pia. Tena alikuwa na bendera kubwa ya Zimbabwe. Tanzania vilaza tu.
 
Huyu mzungu alianzia kutafuta kiki Zimbabwe. Zimbambwe sio watu wa mitandao na hawana shobo na wazungu. Kiki imetiki Tanzania. Kapata alichokuwa anatafuta. Sasa hivi anakula tu pesa za YouTube maana watanzania mmemfollow na mnaangalia video zake. Recognation nayo kapata. Tanzania mnashobokea sana wageni. Kama mzalendo Kweli mwambieni aachie passport ya UK na kuchukua ya Tanzania.
Kwa mara ya kwanza nimekuunga mkono,kisa rangi ndio anapewa hiyo hadhi,mbona tunakeugeuka hivoo na nina amemleta bungeni huyu mtu,kwani ni yeye peke yake kamshangilia Mbwana,je na mimi nikienda huko kwao nikamshangilia mchezaji mpira kwa kiingereza ndio nitapewa hizo hadhi?mbona ngozi nyeusi hatujiamini wajemeni,kwa hili Kigwa hebu simamie kidete na ulipinge kwa nguvu zote ,huyu muangalizi wa bustani asije anza kula pesa yetu ya kodi kwa kufanya ufala kwenye runinga.
 
Back
Top Bottom