Baada ya kutangazwa balozi wa utalii, Bongo Zozo abatizwa jina la kisukuma

Baada ya kutangazwa balozi wa utalii, Bongo Zozo abatizwa jina la kisukuma

Kwa mara ya kwanza nimekuunga mkono,kisa rangi ndio anapewa hiyo hadhi,mbona tunakeugeuka hivoo na nina amemleta bungeni huyu mtu,kwani ni yeye peke yake kamshangilia Mbwana,je na mimi nikienda huko kwao nikamshangilia mchezaji mpira kwa kiingereza ndio nitapewa hizo hadhi?mbona ngozi nyeusi hatujiamini wajemeni,kwa hili Kigwa hebu simamie kidete na ulipinge kwa nguvu zote ,huyu muangalizi wa bustani asije anza kula pesa yetu ya kodi kwa kufanya ufala kwenye runinga.
'kwa hili Kigwa hebu simamie kidete na ulipinge kwa nguvu zote'

Alisimamie kidete?Wkt ni yeye mwenyewe ndie aliyempeleka huyo Bongozozo huko Bungeni na akampa hilo jina kisukuma.

dodge
 
Mchekeeni tu huyo BongoZozo , CIA hawajawahi kumuacha mtu salama.
 
Huyu mzungu alianzia kutafuta kiki Zimbabwe. Zimbambwe sio watu wa mitandao na hawana shobo na wazungu. Kiki imetiki Tanzania. Kapata alichokuwa anatafuta. Sasa hivi anakula tu pesa za YouTube maana watanzania mmemfollow na mnaangalia video zake. Recognation nayo kapata. Tanzania mnashobokea sana wageni. Kama mzalendo Kweli mwambieni aachie passport ya UK na kuchukua ya Tanzania.
Mmmhhhhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sion ubaya jamaa anabeba bendera yetu kila tunaposhiriki mashindano ya kimataifa nchi zozote anatimba wakat sis hapa wengi wetu hata uwanja wa taifa hatujawah kutimba nadhan wanaobeza harakat za bongo zozo ni inferior complex tu ndio inayowaandama
 
Hilo linaitwa shobo la kulindia kibarua kwa kujipendekeza kwa boss pale unapoona kuna dalili umekalia kuti kavu
 
Huyu mzungu alianzia kutafuta kiki Zimbabwe. Zimbambwe sio watu wa mitandao na hawana shobo na wazungu. Kiki imetiki Tanzania. Kapata alichokuwa anatafuta. Sasa hivi anakula tu pesa za YouTube maana watanzania mmemfollow na mnaangalia video zake. Recognation nayo kapata. Tanzania mnashobokea sana wageni. Kama mzalendo Kweli mwambieni aachie passport ya UK na kuchukua ya Tanzania.
Tunaomba ushahidi wa picha akiwa na bendera ya Zimbabwe, bila hivyo itakuwa ni wivu tuu
 
Back
Top Bottom