Kwa nini hawakumpa hata jina la kiha
Kwa nini hawakumpa hata jina la kiha
njaa inapomkuta mwanaume anakuwa tayari hata kutoa washeri yake kwa mwanaume anayempa pesa. viongozi wengi wa kitanzania ni njaa tu zinawaendesha kabisaa kibaya zaidi hata aibu hawana kabisaaaaa. WTFKhamis bana yote hayo ili amfurahishe boss'wa kukaya'.
dodge
kabweMajina ya kiha yataje sasa mfano wake tuone
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahanjaa inapomkuta mwanaume anakuwa tayari hata kutoa washeri yake kwa mwanaume anayempa pesa. viongozi wengi wa kitanzania ni njaa tu zinawaendesha kabisaa kibaya zaidi hata aibu hawana kabisaaaaa. WTF
Wabongo Tunapenda na kuipa chati mambo ya kijingjingaHuyu mzungu alianzia kutafuta kiki Zimbabwe. Zimbambwe sio watu wa mitandao na hawana shobo na wazungu. Kiki imetiki Tanzania. Kapata alichokuwa anatafuta. Sasa hivi anakula tu pesa za YouTube maana watanzania mmemfollow na mnaangalia video zake. Recognation nayo kapata. Tanzania mnashobokea sana wageni. Kama mzalendo Kweli mwambieni aachie passport ya UK na kuchukua ya Tanzania.
Akiacha passport ya UK na kuchukua ya Tanzania ww itakusaidia nn!?Huyu mzungu alianzia kutafuta kiki Zimbabwe. Zimbambwe sio watu wa mitandao na hawana shobo na wazungu. Kiki imetiki Tanzania. Kapata alichokuwa anatafuta. Sasa hivi anakula tu pesa za YouTube maana watanzania mmemfollow na mnaangalia video zake. Recognation nayo kapata. Tanzania mnashobokea sana wageni. Kama mzalendo Kweli mwambieni aachie passport ya UK na kuchukua ya Tanzania.
Simwonei wivu. Im just an analyst.Akiacha passport ya UK na kuchukua ya Tanzania ww itakusaidia nn!?
Ishi maisha yako, pambana kwa style yako. Usimuonee wivu binadamu mwenzako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiulize kwa nini Wazimbabwe hawajamshobokea wakati kipindi cha CAN aliwashangilia pia. Tena alikuwa na bendera kubwa ya Zimbabwe. Tanzania vilaza tu.Akiacha passport ya UK na kuchukua ya Tanzania ww itakusaidia nn!?
Ishi maisha yako, pambana kwa style yako. Usimuonee wivu binadamu mwenzako.
Sent using Jamii Forums mobile app
MlambalaziMajina ya kiha yataje sasa mfano wake tuone
Sent from my iPhone using JamiiForums
BongoZozo
Kwa mara ya kwanza nimekuunga mkono,kisa rangi ndio anapewa hiyo hadhi,mbona tunakeugeuka hivoo na nina amemleta bungeni huyu mtu,kwani ni yeye peke yake kamshangilia Mbwana,je na mimi nikienda huko kwao nikamshangilia mchezaji mpira kwa kiingereza ndio nitapewa hizo hadhi?mbona ngozi nyeusi hatujiamini wajemeni,kwa hili Kigwa hebu simamie kidete na ulipinge kwa nguvu zote ,huyu muangalizi wa bustani asije anza kula pesa yetu ya kodi kwa kufanya ufala kwenye runinga.Huyu mzungu alianzia kutafuta kiki Zimbabwe. Zimbambwe sio watu wa mitandao na hawana shobo na wazungu. Kiki imetiki Tanzania. Kapata alichokuwa anatafuta. Sasa hivi anakula tu pesa za YouTube maana watanzania mmemfollow na mnaangalia video zake. Recognation nayo kapata. Tanzania mnashobokea sana wageni. Kama mzalendo Kweli mwambieni aachie passport ya UK na kuchukua ya Tanzania.