Baada ya kutangazwa balozi wa utalii, Bongo Zozo abatizwa jina la kisukuma

'kwa hili Kigwa hebu simamie kidete na ulipinge kwa nguvu zote'

Alisimamie kidete?Wkt ni yeye mwenyewe ndie aliyempeleka huyo Bongozozo huko Bungeni na akampa hilo jina kisukuma.

dodge
 
Mchekeeni tu huyo BongoZozo , CIA hawajawahi kumuacha mtu salama.
 
Mmmhhhhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sion ubaya jamaa anabeba bendera yetu kila tunaposhiriki mashindano ya kimataifa nchi zozote anatimba wakat sis hapa wengi wetu hata uwanja wa taifa hatujawah kutimba nadhan wanaobeza harakat za bongo zozo ni inferior complex tu ndio inayowaandama
 
Hilo linaitwa shobo la kulindia kibarua kwa kujipendekeza kwa boss pale unapoona kuna dalili umekalia kuti kavu
 
Tunaomba ushahidi wa picha akiwa na bendera ya Zimbabwe, bila hivyo itakuwa ni wivu tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…