Baada ya kutangazwa tarehe ya sensa kuwa siku ya mapumziko, hakuna aliethubutu kufungua duka Kariakoo

Baada ya kutangazwa tarehe ya sensa kuwa siku ya mapumziko, hakuna aliethubutu kufungua duka Kariakoo

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
11,422
Reaction score
6,108
Baada ya kutangazwa tarehe ya sensa kuwa siku ya mapumziko, hakuna aliethubutu kufungua duka Kariakoo.

Kwa wanaoishi hapo hapo kariakoo walibaki majumbani lakin mpaka usiku huu wengi hawajapitiwa na makarani, najua watapitiwa siku zijazo lakini siku imepotea bure bila biashara kufanyika yaani kulipowa.

Hongereni sana Watanzania kwa utiifu na usikivu wenu.
 
Tofautisha wapenda amani na opportunists. Pana rundo la wenye matarajio ya kupata the easy way. Wasije pata mkwaruzo au msukosuko wowote.
 
Back
Top Bottom