Baada ya Kutemwa na Ney wa Mitego, Siwema aendelea kupeta, anunua Gari mpya kwa hela zake mwenyewe

Baada ya Kutemwa na Ney wa Mitego, Siwema aendelea kupeta, anunua Gari mpya kwa hela zake mwenyewe

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Wakati Mpenzi wake wa zamani Nay wa Mitego akiwa Bize na Baby yake Mpya Shamsa Ford, Siwema ameamua kujipoza machungu ya kuachwa na kunyang'anywa mtoto kwa kununua gari mpya.

Ameweka Picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika yafuatayo:

Thank u ZAMZAM MOTORS LTD.....kwa kufanikisha hili...u always good to me#magari yenu yako bomba ile mbayaaa # namba ikitoka ntawambia ili msinipite barabarani!!!!

Mimi na warumi Dinazarde tunasubiri majibu ya DNA kujua mtoto alikuwa wa nani tu..
 
Mmh!! Huyu mwanamke ni hatar sana... mtu yeyote akitoa maneno machafu wakati ana hasira ujue ana maanisha, ney arudishe tu damu ya watu, maana kama watoto anao wengi
 
Mmh!! Huyu mwanamke ni hatar sana... mtu yeyote akitoa maneno machafu wakati ana hasira ujue ana maanisha, ney arudishe tu damu ya watu, maana kama watoto anao wengi

Ni kweli kabisa. maneno asemayo mtu akiwa na hasira huo yanatoka moyoni
 
Akachukue mwanae !!! haijalishi baba yake ni nani mtoto chini ya miaka 8 ni wa mama
 
Akachukue mwanae !!! haijalishi baba yake ni nani mtoto chini ya miaka 8 ni wa mama

Chini ya miaka 8 ni wa mama kama mama mwenyewe ana uwezo wa kumtunza na ametulia. .....kama mama kiguu na njia na hana muda wa kukaa na mtoto basi mtoto huwa anapewa baba kumtunza
 
Chini ya miaka 8 ni wa mama kama mama mwenyewe ana uwezo wa kumtunza na ametulia. .....kama mama kiguu na njia na hana muda wa kukaa na mtoto basi mtoto huwa anapewa baba kumtunza

sasa kwa ney na siwema bora apewe siwema si ney
 
Hebu ntupie huo ubuyu wa kuwekwa selo

Kama unamkumbuka yule pedeshee wake aliekua anampa jeurii mwaz,,alimpiga picha za uchi huyo pedejee sasa huyu wema akawa anataka vitu vya gharama yule babu akaona amnunulie gari ili anyamaze,,heee akaombwq tena pesa nyinginee asipompa anazisambaza zile picha za uchi,,ndio pedejee kumshitaki police wakaenda kumkamata alilala siku mbilimna gari a kanyang'anywa , kama upo insta mfollow udakutz ,
Kama unakumbuka wema sepetu alikuja mwaz kwenye instagram party ndio siku hiyo hiyo bibie akadakwaaa na party ikahamia selo
 
Mi nikadhani kahongwa gari mpyaaa, kumbe used ya mbaliii. Hajajitambua thamani yake.
 
Hahahahahahaa kumbe alitapeli mtu wadada wa mjin hawatak kufanya Kaz Bali kuwa instagram tu kujishaua
 
Back
Top Bottom