Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hahahahahahaa kumbe alitapeli mtu wadada wa mjin hawatak kufanya Kaz Bali kuwa instagram tu kujishaua
Haonekani insta sijui atarudi linii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahaa kumbe alitapeli mtu wadada wa mjin hawatak kufanya Kaz Bali kuwa instagram tu kujishaua
Haonekani insta sijui atarudi linii
Halafu wewe c nlikuambia ntumie no yke nkija huko npate w kuniliwaza....hka katoto kanakaa wapi
Kama unamkumbuka yule pedeshee wake aliekua anampa jeurii mwaz,,alimpiga picha za uchi huyo pedejee sasa huyu wema akawa anataka vitu vya gharama yule babu akaona amnunulie gari ili anyamaze,,heee akaombwq tena pesa nyinginee asipompa anazisambaza zile picha za uchi,,ndio pedejee kumshitaki police wakaenda kumkamata alilala siku mbilimna gari a kanyang'anywa , kama upo insta mfollow udakutz ,
Kama unakumbuka wema sepetu alikuja mwaz kwenye instagram party ndio siku hiyo hiyo bibie akadakwaaa na party ikahamia selo
Hahahahahahaa kumbe alitapeli mtu wadada wa mjin hawatak kufanya Kaz Bali kuwa instagram tu kujishaua
Sina hata namba yakeee mieee
Hajambo badiebay?
Haonekani insta sijui atarudi linii
Na hii sheRia mpya ya uharifu aw mtandao lazima awe mpole alitaka kumfanya baba wa watu kitega uchumi Ili asumbue instagram
Katakua n tabia zileee z kupenda wazee kwani huyo obasanjo anafanya kazi gani
Kigogo wa serikali...
Source GPL
Pole sasa unatumikia Jela kwa mashauzi.
Wakati Mpenzi wake wa zamani Nay wa Mitego akiwa Bize na Baby yake Mpya Shamsa Ford, Siwema ameamua kujipoza machungu ya kuachwa na kunyang'anywa mtoto kwa kununua gari mpya.
Ameweka Picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika yafuatayo:
Thank u ZAMZAM MOTORS LTD.....kwa kufanikisha hili...u always good to me#magari yenu yako bomba ile mbayaaa # namba ikitoka ntawambia ili msinipite barabarani!!!!
Mimi na warumi Dinazarde tunasubiri majibu ya DNA kujua mtoto alikuwa wa nani tu..